KANISA LA KISINODI - Na; Adventina Elias
Mama wa Neno(Adventina Elias)
0:00 / 0:00
KANISA LA KISINODI - Na; Adventina Elias
788 просмотров · 4 года назад
Mama wa Neno(Adventina Elias)
1,12 тыс. подписчиков
788 просмотров · 4 года назад
Karibu mpendwa kusikiliza wimbo huu uitwao "Kanisa la kisinodi" utunzi wake Adventina Elias.
Wimbo huu unaelezea kwa ufupi dhima ya Kanisa la kisinodi ili kuendelea kutukumbusha wajibu wetu ndani ya kanisa kama ilivyotangazwa na Mababa zetu wa kanisa.
Ukisha kusikiliza tafadhali usisahau kusubscribe katika channel hii pamoja na kushare link kwa ndugu ,jamaa na marafiki.
Tumtukuze Bwana......
Wimbo: Kanisa la kisinodi
Mtunzi/Mwimbaji: Adventina Elias
Audio Production: Khaki Media