Fahamu kuhusu kipindi cha Saratani
Saratani
0:00 / 0:00
Fahamu kuhusu kipindi cha Saratani
90 просмотров · 4 г. назад
Saratani
138 подписчиков
90 просмотров · 4 г. назад
Karibu katika channnel mahsusi kuzungumzia masuala yahusuyo ugonjwa wa Saratani.
Lengo kuu la channel hii ni kukujuza yote yahusianayo na ugonjwa huu kwa lugha rahisi ya kiswahili ili uweze kuchukua hatua sahihi kutokana na hali uliyonayo wewe au mpendwa wako.
Kipindi kinaendeshwa na Dr. Heri Tungaraza, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani na Leah Mushi, Mtaalamu wa Mawasiliano na mwanahabari wa miaka mingi.
Karibu kuchangia kwenye comment, kama kuna swali litajibiwa
#saratani #saratanininini #ijuesaratani #saratani #sarataniinaua #ugonjwawasaratani #kansa #ugonjwawakansa #kansaninini #leahmushi #HeriTungaraza #kiswahili #ugonjwawasaratani #mgonjwawasaratani #elimuyasaratani #sarataniinaua #jesarataniinapona #dawazasaratani #dalilizasaratani #sarataniinayoua #sarataniinapona #saratanitanzania #saratanikiswahili #daktariwasaratani #ufafanuziwasaratani #saratanimbaya #jesarataniinapona #mgojwawasaratani #saretani #saritani #vyakulavyasaratani #mtuanayeumwasaratani