Je ugonjwa Saratani ni nini?
Saratani
0:00 / 0:00
Je ugonjwa Saratani ni nini?
1 540 просмотров · 4 г. назад
Saratani
138 подписчиков
1 540 просмотров · 4 г. назад
Ugonjwa wa Saratani ni moja kati ya magonjwa yanayoongoza kwa vifo duniani kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya duniani WHO. Kuna taarifa nyingi kuhusiana na ugonjwa huu katika mitandao lakini nyingi zipo kwa lugha ya kiingereza na ndio sababu tumeona nivyema kuwa na kipindi hiki na kuwajuza mambo mbalimbali wale wanaozungumza lugha ya kiswahili.
Katika kipindi hiki utasikia Ugonjwa wa Saratani ni nini?, unatokana na nini? kuna aina ngapi za saratani? na mambo mengine mengi.
Kipindi cha saratani kinaendeshwa na Dr. Heri Tungaraza, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani na Leah Mushi, Mtaalamu wa Mawasiliano na mwanahabari wa miaka mingi.
Karibu kuchangia kwenye comment, kama kuna swali litajibiwa.
#Saratani #Ugonjwawasaratani #saratanininini #mgonjwawasaratani #Kansa #kansayangozi #sarataniyangozi #sarataniyamatiti #sarataniyadamu #sarataniyakizazi #saratanikwawatoto #kwaninimtuanaparasaratani #dalilizasaratani #sarataniinaua #sarataniinapona #sarataninikifo #who #wagonjwawasaratani #kiswahili #tanzania #daktariwasaratani #daktaribingwawasaratani #dalilizasaratani #leahmushi #ijuesaratani