HONGERA MABINGWA WETU! Juhudi Zawalipa Kwenye Mtihani wa Kupandishwa Maraja (Karate Grading Exam) 🥋
SAFI SCHOOLS
0:00 / 0:00
HONGERA MABINGWA WETU! Juhudi Zawalipa Kwenye Mtihani wa Kupandishwa Maraja (Karate Grading Exam) 🥋
96 просмотров · 10 месяцев назад
SAFI SCHOOLS
132 подписчика
96 просмотров · 10 месяцев назад
HONGERA MABINGWA WETU! Juhudi Zawalipa Kwenye Mtihani wa Kupandishwa Maraja (Karate Grading Exam) 🥋
Imekuwa ni siku ya kihistoria na yenye fahari kubwa kwetu! Tizama wanafunzi wetu mahiri wa Safi Schools walivyoonyesha weledi, nidhamu, na uwezo wa hali ya juu katika Mtihani wa Karate Grading Exam.
Kwa kufanya vizuri kwenye mtihani huu, wamefanikiwa kupanda daraja kutoka Yellow Belt (mkanda wa Njano) kwenda Orange Belt (mkanda wa machungwa)! 🎉
Karate ni zaidi ya mchezo, ni somo la Nidhamu, Kujiamini, na Ustahimilivu. Tunaamini masomo haya yatawasaidia sana katika masomo na maisha yao kwa ujumla.