Перейти к содержимому

TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO

Mwananchi Digital

0:00 / 0:00

TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO

40 381 просмотр · 2 года назад
Mwananchi Digital
1,23 млн подписчиков
40 381 просмотр · 2 года назад
Baada ya kutoleana vijembe ndani na nje ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hatimaye Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina wamekutana uso kwa uso. Bashe yupo kwenye ziara ya kikazi kwenye maeneo mbalimbali nchini na leo Ijumaa, Septemba 13, 2024 amefika katika Jimbo la Kisesa linaloongozwa na Mpina na kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kuzungumza na wakulima na maofisa ugani. Akiwa jimboni humo, Bashe amemtaka Mpina kuacha siasa kwenye zao la pamba kwa kuwa Serikali ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan, inahitaji kuona fedha zinazotengwa zinanufaisha wakulima wa zao hilo.