Перейти к содержимому

MANGUNGU HAPOI - "HATA KAMA HAWANIPENDI - WANUNE - WAVIMBE NA WAPASUKE MIMI NDIYE MWENYEKITI"

Global TV Online

0:00 / 0:00

MANGUNGU HAPOI - "HATA KAMA HAWANIPENDI - WANUNE - WAVIMBE NA WAPASUKE MIMI NDIYE MWENYEKITI"

3 657 просмотров · 11 ч назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
3 657 просмотров · 11 ч назад
MANGUNGU HAPOI - "HATA KAMA HAWANIPENDI - WANUNE - WAVIMBE NA WAPASUKE MIMI NDIYE MWENYEKITI" Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu, amefunguka kwa hisia kali na kuweka msimamo thabiti kuhusu nafasi yake ya uongozi ndani ya klabu hiyo. Mangungu amewajibu wanaompinga na kusema wazi kuwa ataendelea kusimamia majukumu yake bila kutetereka. Tazama video hii mwanzo hadi mwisho kusikia kauli yake kamili na mtazamo wake kuhusu mwenendo wa timu na mustakabali wa uongozi wa Simba SC. #SimbaSC #Mangungu #GlobalTVOnline #SokaLaBongo #VPL ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com