Перейти к содержимому

🔴LIVE PEKEE KUOMBEA MATATIZO SUGU YA MUDA MREFU 7.10.2026 | SAA 7:30 PM | KUHANI ELIAH ABEL HAULE |

LOEVA MINISTRY

0:00 / 0:00

🔴LIVE PEKEE KUOMBEA MATATIZO SUGU YA MUDA MREFU 7.10.2026 | SAA 7:30 PM | KUHANI ELIAH ABEL HAULE |

1 074 просмотра · Трансляция закончилась 3 дня назад
LOEVA MINISTRY
6,4 тыс. подписчиков
1 074 просмотра · Трансляция закончилась 3 дня назад
Kama kuna tatizo lolote sugu ambalo limekuwa likikusumbua kwa muda mrefu, usikose muda huu wa maombi. Leta hitaji lako mbele za Yesu na beba kiwango kikubwa cha imani. 🙏🔥 Usikubali hali ya muda mrefu ikufanye ukate tamaa. Mkabidhi Yesu jambo lako, mwamini, endelea kuomba na tarajia mapenzi yake mema yatimie katika maisha yako. 🔥 Leo simama katika imani. 🔥 Leo mwambie Yesu: “Bwana, nakuamini katika jambo langu.” 🔥 Leo usikose kujiungamanisha nasi katika maombi. 📺 LIVE PEKEE: YouTube & TikTok — Loeva Ministry Facebook — Kuhani Eliah Abel Haule 💬 Andika “NINAAMINI” kwenye comment kama utashiriki. 📲 Mwalike mtu mwenye hitaji, share tangazo hili na ushiriki naye muda huu wa maombi. Usiku huu, njoo na imani yako mbele za Yesu. 🙏🔥 #LoevaMinistry #KuhaniEliahAbelHaule #Maombi #MatatizoSugu #Imani #Yesu #MaombiYaUsiku