🔴 LIVE SUNDAY SERVICE | KUHANI ELIAH ABEL HAULE| 11.10.2026
LOEVA MINISTRY
0:00 / 0:00
🔴 LIVE SUNDAY SERVICE | KUHANI ELIAH ABEL HAULE| 11.10.2026
57 просмотров · Трансляция закончилась 2 дня назад
LOEVA MINISTRY
6,4 тыс. подписчиков
57 просмотров · Трансляция закончилась 2 дня назад
Usikubali Neema Hii Ya Yesu Ikapita Tu Ndani Ya Maisha Yako, Jiungamanishe Popote Ulipo, Yesu Atakutendea Vile Apendavyo
Usikubali neema ya Yesu ipite bila kuipokea ndani ya maisha yako! 🙏🔥 Ungana nasi katika ibada hii takatifu ya Jumapili, popote ulipo, na umruhusu Yesu atende kazi ndani ya maisha yako kulingana na mapenzi yake.
Kupitia mtumishi wa Mungu, Kuhani Eliah Abel Haule, jiandae kupokea Neno la Mungu, kuimarishwa katika imani na kushuhudia ukuu wa Yesu Kristo.
📺 YouTube na TikTok: Loeva Ministry
📱 Facebook LIVE: Kuhani Eliah Abel Haule
❤️ Like, share chapisho hili na mwalike ndugu, rafiki au mtu mwingine apate nafasi ya kuungana nasi katika ibada hii.
#LoevaMinistry #KuhaniEliahAbelHaule #LiveSundayService #IbadaYaJumapili #NeemaYaYesu #NguvuZaMungu #YesuAnatenda