Zaidi ya wakulima 300 nchini wanufaika na mkopo wa matrekta
Azam TV
0:00 / 0:00
Zaidi ya wakulima 300 nchini wanufaika na mkopo wa matrekta
6 892 просмотра · 3 года назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
6 892 просмотра · 3 года назад
Wakulima 330 kutoka maeneo mbalimbali nchini, wamepata mkopo wa trekta katika kipindi cha mwaka mmoja wa 2022 kupitia mpango wa matumizi bora ya zana za kilimo na fedha unaoendeshwa na Taasisi ya Fedha ya EFTA iliyo chini ya Benki Kuu ya Tanzania.