Ziara ya Papa Leo XIV barani Afrika
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
Ziara ya Papa Leo XIV barani Afrika
1 962 просмотра · Трансляция закончилась 5 мес. назад
DW Kiswahili
336 тыс. подписчиков
1 962 просмотра · Трансляция закончилась 5 мес. назад
Leo katika Kurunzi Live tunaitazama ziara ya Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV barani Afrika. Ziara ya kwanza kwa kiongozi huyo tangu alipochukua nafasi hiyo. Tayari ameshaitembelea Algeria na ataenda pia Cameroon, Equatorial Guinea na Angola. #dwkiswahili #dwswahili #kurunzilive