Kurunzi Live: Je, walimu wanapata heshima wanayostahili katika jamii?
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
Kurunzi Live: Je, walimu wanapata heshima wanayostahili katika jamii?
273 просмотра · Трансляция закончилась 4 дня назад
DW Kiswahili
336 тыс. подписчиков
273 просмотра · Трансляция закончилась 4 дня назад
Dunia iliadhimisha Siku ya Walimu Duniani Oktoba 5, siku maalum inayotambua mchango mkubwa wa walimu katika kujenga jamii, kukuza elimu na kuandaa vizazi vya sasa na vijavyo. Siku hii huadhimishwa kila mwaka tangu mwaka 1994 kwa kutambua nafasi muhimu ya walimu katika maendeleo ya mataifa duniani. Je, jamii inathamini mchango wa walimu katika kujenga kizazi bora, au bado walimu hawapati heshima wanayostahili?