TMDA YAWANOA WAMILIKI WA MADUKA YA DAWA NA WAUZAJI TARIME.
CLEO24 TV
0:00 / 0:00
TMDA YAWANOA WAMILIKI WA MADUKA YA DAWA NA WAUZAJI TARIME.
128 просмотров · 3 дн. назад
CLEO24 TV
9,62 тыс. подписчиков
128 просмотров · 3 дн. назад
TMDA yawanoa wamiliki wa maduka ya dawa na wauzaji wa dawa Tarime, ikiwataka kuzingatia sheria, taratibu na miongozo ya uuzaji na utoaji wa dawa ili kulinda afya za wananchi.
Katika mafunzo hayo, wafanyabiashara wamepewa elimu kuhusu matumizi sahihi ya dawa, usalama wa wateja pamoja na umuhimu wa kuendesha biashara kwa kufuata masharti yaliyowekwa na mamlaka husika.