PART 1: UTENGENEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU WA MAYAI (CHICK STARTER)
Frida Homestead
0:00 / 0:00
PART 1: UTENGENEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU WA MAYAI (CHICK STARTER)
23 752 просмотра · 3 года назад
Frida Homestead
5,78 тыс. подписчиков
23 752 просмотра · 3 года назад
Kuku kama wanyama wengine wanahitaji vyakula vyenye virutubisho vyote muhimu ili kuweza kufanya uzalishaji bora. Video hii imeandaliwa kwa lengo la kuweza kumfanya mkulima aweze kujitengenezea chakula cha kuku wake mwenyewe ili kuweza kupunguza gharama za uzalishaji. Sehemu ya kwanza in jinsi ya kutengeniza chakula cha vifaranga.