SHINDA KUPUNGUKIWA KATIKA MAISHA YAKO | KWANINI SADAKA NI MUHIMU? ~ Rev. Dr. Eliona Kimaro (Part 2)
Hub of Wisdom Inc.
0:00 / 0:00
SHINDA KUPUNGUKIWA KATIKA MAISHA YAKO | KWANINI SADAKA NI MUHIMU? ~ Rev. Dr. Eliona Kimaro (Part 2)
476 просмотров · 14 часов назад
Hub of Wisdom Inc.
148 тыс. подписчиков
476 просмотров · 14 часов назад
Angalia sehemu ya Kwanza hapa: • SHINDA UKAME, UTUPU & KUPUNGUKIWA KATIKA M...
Je, umekuwa ukipitia hali ya ukame, utupu, kupungukiwa au kukosa maendeleo katika maeneo mbalimbali ya maisha yako? Je, unafanya juhudi kubwa lakini bado huoni matokeo unayoyatarajia? Huenda huu ndio ujumbe unaohitaji kuusikiliza!
Usikose kutazama hadi mwisho! Sikiliza kwa makini, tafakari ujumbe huu na ushiriki mafunzo utakayopata na watu wengine wanaohitaji kutiwa moyo na kujengwa kiroho.
👍 LIKE video hii kama ujumbe umekugusa.
💬 COMMENT: Ni eneo gani la maisha yako unahitaji Mungu akuimarishe?
📲 SHARE video hii na familia, marafiki na watu wote wanaoweza kunufaika na ujumbe huu.
🔔 SUBSCRIBE kwenye H.W Media kwa mafundisho zaidi ya kiroho, mahusiano, maendeleo binafsi na maisha yenye kusudi.
Karibu H.W Media ~ Home of Positive Vibes!
#RevDrElionaKimaro #ShindaUkame #UjumbeWaMungu #Imani #MafundishoYaKiroho #HWMEDIA #HubOfWisdom