Перейти к содержимому

LUSHOTO:DC LUSHOTO AONGEA NA WAHITIMU WA DARASA LA SABA KATIKA SHULE YA FRONT EVER ILIOPO SONI:

Usambara Online tv

0:00 / 0:00

LUSHOTO:DC LUSHOTO AONGEA NA WAHITIMU WA DARASA LA SABA KATIKA SHULE YA FRONT EVER ILIOPO SONI:

44 просмотра · 7 дней назад
Usambara Online tv
920 подписчиков
44 просмотра · 7 дней назад
Hayo aliyazungumza na wahitimu wa darasa la saba 2026 shule ya msingi front Ever iliyopo soni Jimbo la bumbuli wilaya ya lushoto mkoa wa tanga. Hata hivo katika risala Yao walioiwasilisha Kwa mgeni rasmi risala Yao iligusia changamoto ya upungufu wa umeme katika Shule hiyo na ukizingalia kua shule hiyo ina vifaa vingi vinavyotumia umeme msingi,hivo wameomba tanesco kuwaongezea ukubwa wa umeme kwaajili ya kukidhi maitaji yao muhimu Kwa wanafunzi. Nae mgeni rasmi amesema kua Swala hilo atalifanyia kazi Kwa haraka ili kutatua changamoto hiyo iliyopo.