TULINDE NIDHAMU ZETU WAKATI WOTE WA UMITASHUMTA-MSONDE
Cg Online Tv
0:00 / 0:00
TULINDE NIDHAMU ZETU WAKATI WOTE WA UMITASHUMTA-MSONDE
355 просмотров · 4 года назад
Cg Online Tv
97,4 тыс. подписчиков
355 просмотров · 4 года назад
"Michezo ni taaluma,michezo ni elimu kwa hiyo mko hapa kuendelea na masomo katika uwanda mwingine wa michezo kwa hiyo tusije tukajisahau tukajaribu kwenda nje na nidhamu yetu." Dkt Charles Msonde-Naibu Katibu Mkuu OR TAMISEMI wakati akizungumza na wanafunzi wa UMITASHUMTA ngazi ya Taifa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora, mashindano hayo yanafanyika mkoani Tabora kuanzia tarehe 29/07/2022 hadi 09/08/2022