WANANCHI KULIPIA DARAJA LA TANZANITE? - KAMATI YA BUNGE YATOA AGIZO
Global TV Online
0:00 / 0:00
WANANCHI KULIPIA DARAJA LA TANZANITE? - KAMATI YA BUNGE YATOA AGIZO
210 просмотров · 1 ч назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
210 просмотров · 1 ч назад
WANANCHI KULIPIA DARAJA LA TANZANITE? - KAMATI YA BUNGE YATOA AGIZO
Kamati ya Bunge imetoa mapendekezo na ushauri mzito kwa Serikali kuhusu miundombinu mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam, ikiwemo ushauri wa kuanzisha tozo kwa watumiaji wa Daraja la Tanzanite ili kukusanya mapato yatakayosaidia ujenzi wa madaraja na miundombinu mingine nchini.
Aidha, Kamati imekagua mradi wa ujenzi wa Daraja la Jangwani wenye thamani ya takribani shilingi bilioni 97 na kuagiza usimamizi madhubuti ili mkandarasi akamilishe mradi huo kwa wakati na kwa viwango vinavyotakiwa.
#DarajaLaTanzanite #BungeLaTanzania #GlobalTVOnline #Habari #TANROADS #DarEsSalaam #DarajaLaTanzanite #BungeLaTanzania #GlobalTVOnline #Habari #TANROADS #DarEsSalaam
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com