Перейти к содержимому

Taamini nitii pia | Trust and Obey | Nyimbo za Kristo

Nyimbo za kristo Hymnal

0:00 / 0:00

Taamini nitii pia | Trust and Obey | Nyimbo za Kristo

9 436 просмотров · 5 мес. назад
Nyimbo za kristo Hymnal
4,6 тыс. подписчиков
9 436 просмотров · 5 мес. назад
Lyrics [Verse 1] Namwandama Bwana kwa alilonena, Njia zangu huning`azia; Na nikimridhisha atanidumisha, Taamini nitii pia. Chorus Kuamini, Njiani pweke ni hii Ya furaha kwa Yesu: Amini ukatii. [Verse 2] Giza sina kwangu wala hata wingu,Yeye mara huviondoa; Oga, wasiwasi, sononeko, basi; Huamini nitii pia. [Verse 3] Masumbuko yote, sikitiko lote; Kwa mapenzi hunilipia; Baa, dhara, dhiki, vivyo hubariki. Taamini nitii pia. [Verse 4] Nitamfurahia na kumtumaini, Majumbani na njia-njia; Agizo natenda; nikitumwa hwenda, Huamini, nitii pia