Naskia sauti yako | Hear Thy Welcome Voice | Nyimbo za Kristo
Nyimbo za kristo Hymnal
0:00 / 0:00
Naskia sauti yako | Hear Thy Welcome Voice | Nyimbo za Kristo
10 671 просмотр · 6 мес. назад
Nyimbo za kristo Hymnal
4,6 тыс. подписчиков
10 671 просмотр · 6 мес. назад
Lyrics
[Verse 1]
Nasikia mwito, Ni sauti yako;
Nikasafiwe kwa damu Ya kwangikwa kwako.
Chorus
Nimesongea mtini pako,
Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako.
[Verse 2]
Ni mnyonge kweli, umenipa nguvu;
Ulivyonisfi taka Ni utimilivu.
[Verse 3]
Yesu hunijuvya: Mapenzi imani,
Tumai, amani, rahi, hapa na mbinguni.
[Verse 4]
Napata wokovu, Wema na neema;
Kwako Bwana nina nguvu Na haki daima.