Mtindo wa maisha unavyosababisha ugonjwa wa moyo na shinikizo la damu
UTV Tanzania
0:00 / 0:00
Mtindo wa maisha unavyosababisha ugonjwa wa moyo na shinikizo la damu
298 просмотров · 1 год назад
UTV Tanzania
183 тыс. подписчиков
298 просмотров · 1 год назад
Shinikizo la juu la damu na magonjwa ya moyo ni miongoni mwa matatizo yanayosumbua watu nchini, huku sababu kuu zikitajwa kuwa ni mtindo wa maisha au vinasaba vya kurithi matatizo hayo ya ugonjwa wa moyo.
Katika kuangazia hilo ungana na Daktari wa moyo kutoka Hospitali ya Medinova, Dk. Herry Mwandolela akieleza namna bora ya kuishi kwa kubadili mtindo wa maisha ili kuepuka matatizo hayo ya ugonjwa wa moyo na shinikizo la damu.