Перейти к содержимому

MAISHA YA MTU YANATOKAN NA NINI?. With (Ev. Simon Mtui) EP.02

Isaac Mtei

0:00 / 0:00

MAISHA YA MTU YANATOKAN NA NINI?. With (Ev. Simon Mtui) EP.02

201 просмотр · 1 месяц назад
Isaac Mtei
62 подписчика
201 просмотр · 1 месяц назад
Karibu kwenye The Isaac Mtei Show! Niungeni na mimi na (Ev. Simon Mtui) tukiingia kwa undani somo kuhusu, nini kinacho pelekea maisha ya mtu. Kwenye hii episode ya pili, tunaingia kwenye msingi wa maisha ya kiroho inayo kuza na kubadilisha maisha ya mtu, kutokana na ushuhuda wake mwenyewe na imani katika mabadiliko katika Kristo Yesu Ev. Simon Mtui anatupa ushuhuda wa maisha yake na jinsi Mungu anavyo weza kubadilisha watu, jinsi wazazi wanapaswa kulea watoto wao ili waje kuwa jibu baadae usisahau ku like na ku subsribe na comment chochote unacho ona ni sawa ili kutupa maoni. Mungu awabariki sana!