UZIMA WA MILELE U NDANI YA YESU KRISTO! With (Rev. Olais Mollel). EP.04
Isaac Mtei
0:00 / 0:00
UZIMA WA MILELE U NDANI YA YESU KRISTO! With (Rev. Olais Mollel). EP.04
132 просмотра · 1 месяц назад
Isaac Mtei
62 подписчика
132 просмотра · 1 месяц назад
Karibuni kwenye The Isaac Mtei Show! tumepata neema kubwa kuongea na Rev. Olais Mollel kutoka KKKT, DKAK, Jimbo la Arusha kati, Usharika wa Nanenane.
Anaongelea;
Uzima u ndani mwa Kristo Yesu
Nguvu ya kusoma neno la Mungu
Kukaa kwenye mifumo ya Mungu
Kaa tayari tunavyo ingia kwa undani zaidi na Rev. Olais Mollel maisha yake, kazi yake katika kanisa, na adhari zake anazotaka kufanyia jamii.
Usisahau ku like, share and subscribe kwa ajili ya hadithi na show kama hizi.
#god #jesus #christianshow #lutheranshow #theisaacmteishow