OLE NJOLAI, MSUYA WAMLILIA BANDUKA, ALAMA ZAKE HAZIFUTIKI
Mwananchi Digital
0:00 / 0:00
OLE NJOLAI, MSUYA WAMLILIA BANDUKA, ALAMA ZAKE HAZIFUTIKI
1 470 просмотров · 1 год назад
Mwananchi Digital
1,23 млн подписчиков
1 470 просмотров · 1 год назад
iongozi wastaafu wa serikali, akiwemo Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Cleopa Msuya, pamoja na Mkuu wa Mkoa mstaafu, Daniel Ole Njolai, wameeleza namna hayati Nicodemus Banduka (80) alivyoacha alama isiyofutika ndani ya serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Wakizungumza wakati wa mazishi yake katika makaburi ya KKKT, Usharika wa Mruma, Wilaya ya Mwanga, viongozi hao walisema Banduka alikuwa kiongozi mzalendo, mchapakazi na mfano wa kuigwa.
Banduka, ambaye aliwahi kuwa Mkuu wa Mikoa ya Ruvuma, Iringa, Shinyanga na Pwani, alifariki dunia Februari 7, 2025, akipatiwa matibabu Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam.