Перейти к содержимому

KIJANA KATIKA MAISHA YAKO NANI ANAKUSEMEA UKIWA HAUPO NA UNAKUSEMAJE?MWALIMU MSAKI

GKITV

0:00 / 0:00

KIJANA KATIKA MAISHA YAKO NANI ANAKUSEMEA UKIWA HAUPO NA UNAKUSEMAJE?MWALIMU MSAKI

30 просмотров · 9 дн. назад
GKITV
669 подписчиков
30 просмотров · 9 дн. назад
Katika Semina ya Vijana, Mwalimu Msaki J. ametufundisha kwa kina kuhusu **Endosing, Unyenyekevu na Kiburi**, na namna tabia hizi zinavyoweza kuathiri maisha, mahusiano na safari yetu ya kiroho. Ni mafundisho yenye changamoto na ujumbe muhimu kwa kila kijana anayetamani kukua, kubadilika na kuwa mtu mwenye thamani mbele za Mungu na katika jamii. 📖 *Mada:* Endosing, Unyenyekevu na Kiburi 🎤 *Mfundishaji:* Mwalimu Msaki J. 🔥 *Semina ya Vijana* 📍 Kanisa la Bonde la Utukufu – Vikawe Usisahau *LIKE, SHARE, COMMENT na SUBSCRIBE* ili kuwafikia vijana wengine na kushiriki nao ujumbe huu. #SeminaYaVijana #MwalimuMsaki #Unyenyekevu #Kiburi #Vijana #Uanafunzi #GOKIM #GKITV