Перейти к содержимому

Matangazo ya Leo #Afrika Oktoba 27,2026: Je, yupo wapi mwanaharakati Twaha #Mwaipaya wa #Tanzania?

Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Afrika

0:00 / 0:00

Matangazo ya Leo #Afrika Oktoba 27,2026: Je, yupo wapi mwanaharakati Twaha #Mwaipaya wa #Tanzania?

120 просмотров · 6 дн. назад
Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Afrika
4,01 тыс. подписчиков
120 просмотров · 6 дн. назад
Kenya imekuwa ikitajwa kama kituo ch usalama kwa wakimbizi na wapinzani wa kisiasa wa Afrika Mashariki. Baada ya kesi za Kizza Besigye, Maria Sarungi, na sasa Twaha Mwaipaya, je, ikiwa mwanaharakati wa haki za binadamu anakimbia mateso nchini kwake na kutafuta hifadhi Kenya, lakini anaishia kutekwa tena akiwa Kenya, je, bado tunaweza kusema Kenya ni nchi salama kwa wakosoaji wa serikali za Afrika Mashariki?