Перейти к содержимому

Ombi la nchi za afrika ni mzigo kwa Putin | UTV Tanzania

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

Ombi la nchi za afrika ni mzigo kwa Putin | UTV Tanzania

5 331 просмотр · 7 ч назад
UTV Tanzania
187 тыс. подписчиков
5 331 просмотр · 7 ч назад
Nchi za Afrika zimeiomba Urusi kusaidia katika ujenzi wa viwanda ili kuongeza uzalishaji wa bidhaa zenye thamani na kupunguza utegemezi wa kusafirisha malighafi nje ya bara hilo. Akizungumzia ombi hilo, Mchambuzi wa Masuala ya Kimataifa, Ibrahim Rahby, amesema nchi hizo zimeubebesha mzigo Urusi kwa kuwa, kwa mtazamo wake, nchi hiyo haina uwezo wa kutosha wa kiuchumi kusaidia Afrika, ikizingatiwa kuwa nayo bado inakabiliwa na changamoto za kiuchumi.