Перейти к содержимому

FANANI : HISTORY KABLA BONGOFLEVA/NANI WA KWANZA/KABLA HARDBLASTERZ/KISA CHA MADAWA/KUACHA AU KUFELI

KuviFacts

0:00 / 0:00

FANANI : HISTORY KABLA BONGOFLEVA/NANI WA KWANZA/KABLA HARDBLASTERZ/KISA CHA MADAWA/KUACHA AU KUFELI

10 120 просмотров · 1 год назад
KuviFacts
19,8 тыс. подписчиков
10 120 просмотров · 1 год назад
HIPHOP CORNER NA FANANI EPISODE 6 Karibu katika episode ya sita ya podcast yetu ya Hiphop Corner ambako tumeketi chini na mkongwe Fanani wa Uhakika ambae alikua ni member wa kundi muhimu katika historia ya muziki wa Tanzania,katika episode hii Fanani anatupa historia za awali kabisa kabla ya kuzaliwa kwa Bongofleva ambapo kulikua na harakati za kusisimua ,pia Fanani anaelezea alivyo pata changamoto zilizomuweka matatani nje ya game za matumizi ya madawa ya kulevya kwa miaka 16 na kupoteza karibu kila kitu,karibu na ufurahie Wasiliana nasi kwa nambari +255715888550