Перейти к содержимому

6. Sajili Kampuni BRELA | Viambatanisho - Attachment | Sehemu ya 6

Akili Unde Channel

0:00 / 0:00

6. Sajili Kampuni BRELA | Viambatanisho - Attachment | Sehemu ya 6

29 просмотров · 9 дн. назад
Akili Unde Channel
101 подписчик
29 просмотров · 9 дн. назад
Kupitia video hii utajifunza kuhusu nyaraka muhimu sana zinazohitajika kama viambatanisho kusaidia ombi lako na namna ya kupakua, kuhakiki, kusaini na kupakia bila kufanya makosa. SAJILI KAMPUNI BRELA 2026 | Hatua 7 Kwa Dakika 40 Tu - BOS BRELA: Je, Unataka KUSAJILI KAMPUNI BRELA kwa njia ya mtandao bila wakala? Hii ni Full Course ya Hatua 7 nitakayokuonyesha LIVE kwenye ORS System ya BRELA - kutoka mwanzo hadi kupata Certificate! NDANI YA PLAYLIST HII UTAJIFUNZA: Video 1/7 - Utangulizi, Uchaguzi wa Kampuni na mfumo wa BOS Video 2/7 - Hatua ya Kwanza: Taarifa za Kampuni (Company Details) - Video 3/7 - Hatua ya Pili: Kazi za Kampuni (Company Details) Video 4/7 - Hatua ya Tatu:Muundo wa Kampuni Video 5/7 - Hatua ya Nne: Mtaji na Mgwanyo wa Umiliki (Muundo wa HISA) Video 6/7 - Hatua ya Tano: KuPakia Nyaraka Muhimu Video 6/7 - Hatua ya Sita: Malipo BRELA na Uhakiki na Kupakua Cheti BAADA YA PLAYLIST HII UTAWEZA: Kusajili kampuni mwenyewe bila kulipa wakala 300k+ Kuelewa BOS BRELA system yote Kujua makosa yanayofanya watu wakataliwe na BRELA Kupata Certificate ndani ya siku 3-7 MAHITAJI MUHIMU: - NIDA Number - TIN Number BaruaPepe - 385000/= ya BRELA ANZA NA VIDEO YA KWANZA HAPA - Usiruke hatua! #SajiliKampuni #BRELA #ORSBRELA #UsajiliWaKampuni #BusinessTanzania #KampuniTanzania #BRELA2026 #JinsiYaKusajiliKampuni