Перейти к содержимому

Maduhu:Nikizuiwa Kumuona Lissu Tena Nitawafungulia Maofisa Gereza Kesi Matumizi Mabaya ya Madaraka

The Chanzo

0:00 / 0:00

Maduhu:Nikizuiwa Kumuona Lissu Tena Nitawafungulia Maofisa Gereza Kesi Matumizi Mabaya ya Madaraka

1 629 просмотров · 3 ч назад
The Chanzo
263 тыс. подписчиков
1 629 просмотров · 3 ч назад
Wakili wa Tundu Lissu, Wililiam Maduhu, amesema atawafungulia kesi binafsi maofisa wa Gereza la Ukonga endapo wataendelea kumzuia kutekeleza wajibu wake wa kisheria wa kuonana na mteja wake. Maduhu amesema anawafahamu maofisa hao kwa majina na nyadhifa zao na atawachukulia hatua kwa madai ya matumizi mabaya ya madaraka. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER:   / thechanzo   INSTAGRAM:   / thechanzo   FACEBOOK:   / thechanzo   TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Kutuunga mkono: https://thechanzo.com/support/ Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2026 © All Rights Reserved.