Nguvu ya dhamira: Unapodhamiria jambo kwa imani na hisia bila kuwa na shaka moyoni, limeshatendeka
tHL Accounting
0:00 / 0:00
Nguvu ya dhamira: Unapodhamiria jambo kwa imani na hisia bila kuwa na shaka moyoni, limeshatendeka
1 225 просмотров · 6 л. назад
tHL Accounting
12,7 тыс. подписчиков
1 225 просмотров · 6 л. назад
SIRI YA MAFANIKIO: Mafanikio ya biashara yako na mambo yako yote: YAMO NDANI YA DHAMIRA YAKO. Unapodhamiria jambo kwa imani na hisia bila kuwa na shaka moyoni mwako jambo hilo limeshatendeka. Kuna watu hujiuliza kwa nini wenzao biashara zao hufanikiwa lakini wao hawafanikiwi: Sababu ni tofauti ya nguvu ya dhamira zao. SIKILIZA VIDEO HII KWA KINA ITABADILISHA MAISHA YAKO. Pia endelea kuutumia mfumo wa tHL account kuendesha na kuratibu biashara yako kisasa. Kuupata mfumo wa tHL Accounting ingia www.thlaccounting.com
Mfumo wa tHL Accounting Una sifa zifuatazo: 1. Ni rahisi kutumia popote ulipo kwa Simu au Komputa, 2. Ni salama, 3. Unaongoza Maeneo yote ya biashara (Budget, Mali, Mtaji, Stocks, Mapato, Matumizi, kukokotoa Faida na Hasara, Kufuatilia Unaowadai, Wanaokudai, Malipo, Bank Reconciliation n.k), 4. Unaongeza uaminifu kati ya mwenye biashara na aliowaajiri, 5. Ripoti zake zina hadhi ya kimataifa na zinazingatia International Financial Reporting Standards (IFRS), 6. Gharama yake ni Nafuu na kwa siku 14 unaujaribu bure, 7. Watumiaji watapata Support masaa 24 kila siku bure