Перейти к содержимому

Historia Ya Maisha Ya Carlyto Lassa Na Chanzo Cha Kifo Chake | Mjuwe Carlyto Lassa Alikuwa Nani

Bolingo Zaire

0:00 / 0:00

Historia Ya Maisha Ya Carlyto Lassa Na Chanzo Cha Kifo Chake | Mjuwe Carlyto Lassa Alikuwa Nani

654 просмотра · Трансляция закончилась 1 мес. назад
Bolingo Zaire
2,63 тыс. подписчиков
654 просмотра · Трансляция закончилась 1 мес. назад
Haya ni matangazo ya moja kwa moja yanayohusu maisha ya msanii Carlyto Lassa aliyefariki pale nchini Marekani tarehe moja Septemba mwaka 2026. Carlyto alipitia kwenye bendi mbali mbali za Muziki kuanzia OK J azz hadi Chock Stars na kuwa msanii wa kujitegemea mwenyewe. Kabla ya mauti kumkuta, Carlyto aikuwa Pastor na alikuwa katika huduma za kanisa kabla ya mauti kumkuta pale CICINATI Marekani. Jiunge nami ili usikie uchambuzi unaohusu maisha ya msanii huyu wa zamani wa kundi la OK Jazz. #carlytolassa #okjazz #franco #maishahalisi #swahili