Перейти к содержимому

Historia ya Maisha Ya PEPE KALLE Part 1

Bolingo Zaire

0:00 / 0:00

Historia ya Maisha Ya PEPE KALLE Part 1

728 просмотров · Трансляция закончилась 1 мес. назад
Bolingo Zaire
2,63 тыс. подписчиков
728 просмотров · Трансляция закончилась 1 мес. назад
Pepe Kalle ni nani? Kwa nini dance zake zilivuma sana? Alifariki na nini? Ungani nami katika uchambuzi wa msanii huyu wa zamani wa muziki wa Soukous ili upate majibu ya maswali hayo. Ndani ya video hii ninaongelea maisha ya Pepe Kalle tangu utotoni na sababu ya kupewa jina hilo Pepe Kalle. Naongelea pia tamaa ya ke ya kupenda muziki tangu utoto na akajiunga na kwaya ya katoliki na baadae kukutana na msanii madilu system kwenye kwaya hiyo. Ninaongelea pia tangu alipoanza kuimba kwenye bendi ya Grand Kalle na kuachana na bendi na kujiunga na rafiki yake wa karibu Papy Tex. Naongelea pia kwa nini waliamua bendi yao ihitwe Empire Bakuba na tunzo mbalimbali za kimataifa waliozojizoleya. Niambie maoni yako baada ya kuangalia live hii na uliza swali lolote ulilo nalo kwenye comment section. Watu wa Africa Mashariki kuanzia Kenya, Tanzania, Burundi, Rwanda, Uganda na Mashariki ya Congo bila shaka mtafurahi sana kusikia historia ya msanii huyu wa zamani ambaye alivuma sana enzi hizo. #pepekalle #historia #maisha #muziki #soukous