NA TUMWABUDU HUYO MFALME | O Worship the King | Instrumental Beat | Maarifa Mtandaoni
Maarifa Mtandaoni
0:00 / 0:00
NA TUMWABUDU HUYO MFALME | O Worship the King | Instrumental Beat | Maarifa Mtandaoni
30 просмотров · 6 дней назад
Maarifa Mtandaoni
51 подписчик
30 просмотров · 6 дней назад
🎵 NA TUMWABUDU HUYO MFALME | O Worship the King
Instrumental Beat ya wimbo wa ibada “Na Tumwabudu Huyo Mfalme” , unaojulikana kwa Kiingereza kama “O Worship the King.”
Wimbo huu unamtukuza Mungu kama Mfalme mwenye nguvu, Muumba wa ulimwengu, Ngome yetu, Mlinzi, Mkombozi na Rafiki mwema. Ni wimbo wa sifa, shukrani na kumtumaini Mungu katika kila jambo.
🎶 UBETI WA 1
Na tumwabudu huyo Mfalme,
Sifa za nguvu zake zivume;
Ni ngao, ni ngome, Yeye milele,
Ndizo sifa zake kale na kale.
🎶 UBETI WA 2
Tazameni ulimwengu huu,
Ulivyoumbwa, ajabu kuu;
Sasa umewekwa pahali pake,
Hata utimize majira yake.
🎶 UBETI WA 4
Kwa ulinzi wako, kwetu Bwana,
Twakushukuru, U mwema sana;
Hupewa chakula kila kiumbe,
Kila kitu kina mahali pake.
🎶 UBETI WA 5
Wanadamu tu wanyonge sana,
Twakutumaini Wewe, Bwana;
Kamwe haupungui wako wema,
Mkombozi wetu, Rafiki mwema.
🎧 INSTRUMENTAL BEAT
Instrumental hii inaweza kutumika kwa:
• Kuimba pamoja na instrumental
• Choir rehearsal
• Worship practice
• Mazoezi ya waimbaji
• Ibada na sifa
• Kujifunza melody ya wimbo
• Kuimba nyumbani au kanisani
📖 – Na Tumwabudu Huyo Mfalme O Worship the King
📌 MAARIFA MTANDAONI
Mafundisho • Vitabu • Lesoni • Mikutano • Video • Sauti • Nyimbo • Taarifa muhimu
🔔 Subscribe kwenye channel ya Maarifa Mtandaoni kwa instrumental beats, nyimbo za ibada, mafundisho na maudhui mengine ya kiroho.