U MTAKATIFU – Holy, Holy, Holy | Instrumental Beat | Maarifa Mtandaoni | YEYE AJAYE YUAJA
Maarifa Mtandaoni
0:00 / 0:00
U MTAKATIFU – Holy, Holy, Holy | Instrumental Beat | Maarifa Mtandaoni | YEYE AJAYE YUAJA
122 просмотра · 12 дней назад
Maarifa Mtandaoni
51 подписчик
122 просмотра · 12 дней назад
🎵 U MTAKATIFU | – Holy, Holy, Holy
Instrumental Beat ya wimbo wa ibada “U Mtakatifu”, unaojulikana kwa Kiingereza kama “Holy, Holy, Holy.”
🎶 Wimbo huu ni sifa kwa Mungu Mwenyezi, Mtakatifu na mwenye huruma, ukitukumbusha ukuu, uwezo na upendo wake wa milele.
Ubeti wa 1
U Mtakatifu! Mungu Mwenyezi!
Alfajiri sifa zako tutaimba,
U Mtakatifu, Bwana wa huruma,
Mungu wa vyote, hata milele.
Ubeti wa 2
U Mtakatifu! Na malaika,
Wengi sana wanakuabudu wote.
Elfu na maelfu, wanakusujudu,
Wa zamani na hata milele.
Ubeti wa 3
U Mtakatifu! Ingawa giza,
Lakuficha fahari tusiione,
U Mtakatifu! Wewe peke yako,
Kamili kwa uwezo na pendo.
🎧 Tumia instrumental hii kwa:
• Kuimba na kufanya mazoezi ya wimbo
• Ibada na sifa
• Worship practice
• Choir rehearsal
• Kujifunza melody ya wimbo
📖 🇹🇿 U Mtakatifu
📌 Maarifa Mtandaoni
Pata mafundisho, vitabu, lesoni, mikutano, video, sauti na taarifa muhimu.
🔔 Subscribe kwenye channel na uwashe notifications ili kupata nyimbo na nyenzo nyingine za kiroho.