Перейти к содержимому

Vileja va chumvi with English Subtitles

Laylunnar Delicacies

0:00 / 0:00

Vileja va chumvi with English Subtitles

5 890 просмотров · 6 лет назад
Laylunnar Delicacies
4,34 тыс. подписчиков
5 890 просмотров · 6 лет назад
🍪 Vileja Va Chumvi🍪 👉🏼By Laymoz's Zenji Delicacies 🔹Ingredients 250g siagi/butter/margarine 1 cup ndogo mafuta au 125ml Salt 1/2 kijiko kdg Ute wa mayai 1 7.5ml au 1 tbsp sukar 1 tspn baking powder Ufuta na black seeds / habatsoda for garnish Kiini/yolk cha yai 1 weka na maziwa kdg kupakaza juu Unga vikombe vinne jaza kidgo 🔸Mataarisho Kwenye bakuli tia vitu vote kwa pamoja Kasoro unga na aina za ufuta na viini Changanya kwa mkono au mashine kisha weka unga mpaka upate donge laini Tandaza ukate nakshi unotaka panga Kwenye tray yako Pakaza viini juu na unyunyize ufuta Choma for 25 dkka au ziwe gold Vikimaliza Panga Kwenye sahani tayari kwa kula vikipoa Enjoy 🍸 👉🏼By Laymoz's Zenji Delicacies ❗Kidokezo Hakikisha donge la unga liwe soft usije kuongeza unga zaidi ya kipimo Na unaweza kukatika kwa nakshi yyte.