AHMED ALLY: SIMBA INA DENI LA KULIPA KWA ORLANDO PIRATES!
Xtra 90 TV
0:00 / 0:00
AHMED ALLY: SIMBA INA DENI LA KULIPA KWA ORLANDO PIRATES!
166 просмотров · 1 дн. назад
Xtra 90 TV
93 подписчика
166 просмотров · 1 дн. назад
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema Wekundu wa Msimbazi wana deni la kulipa dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini, ambayo iliiondoa Simba katika michuano ya CAF Champions League na kusonga mbele hadi hatua ya nusu fainali.
Sasa timu hizo zimepangwa tena kundi moja katika hatua ya makundi ya CAF Champions League msimu huu, jambo linaloongeza hamasa ya pambano hilo.