Перейти к содержимому

KILIMO MSETO CHA MACHUNGWA, LIMAU NA NDIMU.

KILIMO SMART MEDIA

0:00 / 0:00

KILIMO MSETO CHA MACHUNGWA, LIMAU NA NDIMU.

896 просмотров · 5 месяцев назад
KILIMO SMART MEDIA
434 подписчика
896 просмотров · 5 месяцев назад
Kilimo cha pamoja cha machungwa, ndimu na limau kwenye shamba moja kina faida nyingi sana kiuchumi, kilimo na hata kimazingira. Huu ni mfumo mzuri wa mseto wa mazao maarufu mixed cropping ambao hupunguza hatari na kuongeza kipato.