🔴CCM YATOA MSIMAMO MZITO TUNDURU | ODO MWISHO ATAKA HATUA ZA HARAKA
Toka zamani Tv
0:00 / 0:00
🔴CCM YATOA MSIMAMO MZITO TUNDURU | ODO MWISHO ATAKA HATUA ZA HARAKA
2 539 просмотров · 1 дн. назад
Toka zamani Tv
156 тыс. подписчиков
2 539 просмотров · 1 дн. назад
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimetoa msimamo mkali na wa wazi kufuatia mgogoro wa wafugaji uliotokea wilayani Tunduru, ambao umesababisha simanzi kubwa na kifo cha Diwani wa Kata ya Misechela.
Akizungumza kuhusu tukio hili, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma, Odo Mwisho, ameitaka serikali kuchukua hatua za haraka na madhubuti kumaliza mgogoro huo ili kurejesha amani, usalama, na utulivu kwa wananchi wa eneo hilo.
Je, ni hatua gani zinazopaswa kuchukuliwa na mamlaka?
Usisahau kusubscribe (Subscribe), kulike (Like), na kushirikisha (Share) video hii ili kuendelea kupata taarifa na habari za kuaminika kila zinapotokea.
Acha maoni yako hapa chini!
SUBSCRIBE HERE:www.youtube.com/c/tokazamanitv?sub_co...