"VIJANA TUNAYO NAFASI KUBWA KUISADIA NCHI HII" DC MBEGA
Toka zamani Tv
0:00 / 0:00
"VIJANA TUNAYO NAFASI KUBWA KUISADIA NCHI HII" DC MBEGA
191 просмотр · 6 дн. назад
Toka zamani Tv
156 тыс. подписчиков
191 просмотр · 6 дн. назад
Vijana mkoani Ruvuma wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali za kiuchumi zinazowazunguka, ikiwemo fursa ya mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri nchini, ili kujikwamua kiuchumi.
Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Hamad Mbega, wakati akifunga mafunzo ya ujasiriamali, historia ya chama, na uzalendo kwa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Ruvuma yaliyofanyika katika wilya hiyo.
Mheshimiwa Mbega amewataka vijana kutumia vyema fursa zilizopo, ikiwa ni pamoja na kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani na nje ya chama.
SUBSCRIBE HERE:www.youtube.com/c/tokazamanitv?sub_co...