Перейти к содержимому

🔴 #LIVE:AMINA KUZUNGUMZIA HUKUMU YAKE LEO/ HATMA YAKE KUJULIKANA: ATARUDI NYUMBANI AU ATAFUNGWA?

Global TV Online

0:00 / 0:00

🔴 #LIVE:AMINA KUZUNGUMZIA HUKUMU YAKE LEO/ HATMA YAKE KUJULIKANA: ATARUDI NYUMBANI AU ATAFUNGWA?

18 178 просмотров · Трансляция закончилась 5 ч назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
18 178 просмотров · Трансляция закончилась 5 ч назад
🔴 #LIVE:AMINA KUZUNGUMZIA HUKUMU YAKE LEO/ HATMA YAKE KUJULIKANA: ATARUDI NYUMBANI AU ATAFUNGWA? Katika kipindi hiki cha MAPITO, Amina anasimulia mkasa mzito na magumu aliyopitia baada ya kufungwa miezi 3 gerezani nchini Oman kufuatia kutoroka kwa bosi wake. Anatoa onyo na ushauri mzito kwa wasichana na wadada wanaofanya kazi za ndani nchi za Kiarabu (Uarabuni). Fuatilia simulizi hii ya kusisimua na mafunzo muhimu. Usisahau ku-Subscribe, kulike, kuacha maoni yako, na kushare simulizi hii iwafikie wengi. #Mapito #GlobalTVOnline #SimuliziZaMaisha #KaziZaUarabuni #Oman ============================================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com