Перейти к содержимому

WAZIRI UMMY ACHARUKA “UNAMWANGALIA MGONJWA DAKIKA 1? MTU ANAPEWA MADAWA KISA BIMA YA AFYA”

Millard Ayo

0:00 / 0:00

WAZIRI UMMY ACHARUKA “UNAMWANGALIA MGONJWA DAKIKA 1? MTU ANAPEWA MADAWA KISA BIMA YA AFYA”

1 373 просмотра · 3 года назад
Millard Ayo
6,2 млн подписчиков
1 373 просмотра · 3 года назад
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akifungua Baraza jipya la madaktari Tanganyika amekemea madaktari kuwawekea lundo la dawa wagonjwa wanaotumia bima za Afya jambo ambalo ni kinyume na maadili na viapo vya taaluma ya udaktari Uzinduzi huo umefanyika jijini Dodoma ambapi pia amelitaka Waziri Ummy akizungumza jijini amelitaka Baraza hilo kuendelea kusimamia vizuri madaktari kwa kuwachukulia hatua kwa haki bila kumuonea yoyote ikiwemo, kupewa onyo, kupewa onyo kali, kufutiwa leseni zao kwa haki bila uonevu ili Baraza liwe na heshima yake.