Перейти к содержимому

HORMUZ STRAIT | Je, lango la bahari liko huru? Je, uhuru wa matumizi utadumu? Je, usalama upo?

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

HORMUZ STRAIT | Je, lango la bahari liko huru? Je, uhuru wa matumizi utadumu? Je, usalama upo?

33 241 просмотр · 5 мес. назад
UTV Tanzania
185 тыс. подписчиков
33 241 просмотр · 5 мес. назад
Gumzo la Mashariki ya Kati kwa sasa ni mashaka ya matumizi ya mlango Bahari wa Hormuz; awali Marekani na Iran walitangaza kuifungua njia hiyo lakini saa chache baadaye Iran ikabadili uamuzi. Malalamiko ya Iran ni kitendo cha Rais Donald Trump wa Marekani kusema majeshi yake yataendelea kusalia kwenye eneo hilo mpaka watakapopata makubaliano kamili na Iran. Mikanganyiko hii ya maamuzi itafanikisha kuelewana kwa mafahari hawa wawili? Huu ni muendelezo wa mjadala wa eneo la Mashariki ya Kati ambalo limeteka siasa za Dunia kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa.