Перейти к содержимому

IBADA YA JUMAPILI SIKU YA BWANA YA 17 BAADA YA UTATU 27/09/2026

KKKT DKMS Online TV

0:00 / 0:00

IBADA YA JUMAPILI SIKU YA BWANA YA 17 BAADA YA UTATU 27/09/2026

Сейчас смотрят: 4 · Трансляция началась 2 часа назад
KKKT DKMS Online TV
9,47 тыс. подписчиков
Сейчас смотрят: 4 · Трансляция началась 2 часа назад
Made with Restream. Livestream on 30+ platforms at once via https://restream.io Unatazama Matangazo Mubashara ya Ibada ya Jumapili Siku ya Bwana ya 17 Baada ya Utatu(Siku ya Watoto:Mikaeli na Malaikawote) inayokujia kutoka KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Jimbo la Kusini Usharika wa Magamba. Ibada hii inaongozwa na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, Ibada hii Itaambanatana tendo la Kuwabariki Vijana wa Kipaimara katika Usharika wa Magamba. Tufuatilie kupitia: 📘 Facebook Account: North Eastern Diocese 📘 Facebook Page: ELCT – North Eastern Diocese ▶️ YouTube: KKKT DKMS Online TV 🌐 Website: www.elctned.org