🚨 DEO, ZANZIBAR NA WAISLAMU: HILI JAMBO LINAZIDI KUWA HATARI!
BEST TV1
0:00 / 0:00
🚨 DEO, ZANZIBAR NA WAISLAMU: HILI JAMBO LINAZIDI KUWA HATARI!
4 508 просмотров · 9 дней назад
BEST TV1
2,23 тыс. подписчиков
4 508 просмотров · 9 дней назад
Uzanzibari, Uislamu, siasa na chuki za mitandaoni — Tanzania tunaelekea wapi? Hoja zinazozua mjadala kuhusu ubaguzi wa asili na dini, wanaharakati, CCM, CHADEMA na umoja wa Watanzania.
Je, kupinga serikali ya ccm kunaweza kufanyika bila kugawa wananchi? Na tukianza kupandikiza chuki leo, kesho Tanzania itakuwa salama?
Tazama hadi mwisho, kisha niambie maoni yako kwenye comments.
#Tanzania #SiasaTanzania #Zanzibar #Samia #CHADEMA #Lissu #mangekimambi #mariasarungi