Перейти к содержимому

🔴LIVE | IBADA YA JUMATANO YA MAFUNDISHO | UWEZA WA BWANA | NABII AMOS MAPIGANO

UWEZA WA BWANA

0:00 / 0:00

🔴LIVE | IBADA YA JUMATANO YA MAFUNDISHO | UWEZA WA BWANA | NABII AMOS MAPIGANO

149 просмотров · Трансляция закончилась 3 нед. назад
UWEZA WA BWANA
1,73 тыс. подписчиков
149 просмотров · Трансляция закончилась 3 нед. назад
Karibu sana katika Ibada hii ya kurudisha ile kiu ya kumtafuta na kumtumikia MUNGU na kumtii. ✝️ Kanisa la Uweza wa Bwana Makao Makuu Arusha 📺Tazama, shiriki, barikiwa! Hapa utapata: ✝️ Mahubiri ✝️Maombi ya nguvu na ukombozi ✝️ Ibada ya uponyaji na miujiza ✝️ Mafundisho ya Biblia ✝️ Ushuhuda wa matendo makuu ya Mungu ✝️ Vipindi vya kiroho vinavyokujenga katika imani Lengo letu ni kueneza Injili ya Yesu Kristo, kuwafikia watu wenye uhitaji wa Mungu, na kuwaimarisha katika imani, tumaini na maisha ya ushindi. Kama umebarikiwa na video hii, usisahau kulike, kushare na ndugu/ marafiki, kusubscribe ili usipitwe na vipindi vyetu vijavyo. Mungu akubariki sana. 👍LIKE | COMMENT |🔔SUBSCRIBE kwa Ibada kama hizi zenye mafundisho na miujiza. #uwezawabwana #AmosMapigano #Maombi #Mahubiri #YesuKristo #Injili #Uponyaji #Ukombozi #Mafundisho #NenolaMungu