CHEKECHE | Nani ataweka kanuni zitakazosimamia teknolojia ya AI
UTV Tanzania
0:00 / 0:00
CHEKECHE | Nani ataweka kanuni zitakazosimamia teknolojia ya AI
1 377 просмотров · 13 часов назад
UTV Tanzania
184 тыс. подписчиков
1 377 просмотров · 13 часов назад
Dunia inaingia katika zama mpya za Artificial Intelligence, huku Marekani ikitangaza kile Rais Donald Trump anachokiita “Era of Super Intelligence”. AI inapopanua ushawishi wake katika uchumi, ajira, elimu na usalama, mjadala mkubwa sasa ni kuhusu nani ataweka kanuni zitakazosimamia teknolojia hiyo.
#AzamTVUpdates