Wananchi wapewe taarifa, sababu za teuzi | UTV Tanzania
UTV Tanzania
0:00 / 0:00
Wananchi wapewe taarifa, sababu za teuzi | UTV Tanzania
385 просмотров · 3 дня назад
UTV Tanzania
184 тыс. подписчиков
385 просмотров · 3 дня назад
Mchambuzi wa Siasa, Faraja Kristomus amesema ni muhimu wananchi kupata taarifa kuhusu sababu za kiongozi kuondolewa katika wadhifa anaouhudumu, kwa kuwa suala hilo ni sehemu ya uwazi katika utendaji wa Serikali.
Amesema utoaji wa taarifa hizo pia unaweza kutoa fursa kwa wananchi kutoa maoni au utetezi pale wanapoona kuna jambo ambalo huenda halijaenda sawa katika uamuzi .