LIVE/ MISA TAKATIFU SHEREHE ZA MT TERESIA MTOTO YESU NA YUBILEI ZA MIAKA 25,50&60 WATAWA MT.TERESIA
JIMBO KATOLIKI IRINGA ONLINE TV
0:00 / 0:00
LIVE/ MISA TAKATIFU SHEREHE ZA MT TERESIA MTOTO YESU NA YUBILEI ZA MIAKA 25,50&60 WATAWA MT.TERESIA
3 000 просмотров · Трансляция закончилась 2 дня назад
JIMBO KATOLIKI IRINGA ONLINE TV
15,3 тыс. подписчиков
3 000 просмотров · Трансляция закончилась 2 дня назад
Misa inaadhimishwa na askofu wa Jimbo Katoliki Mafinga Mhashamu Vincent Mwagala katika Kanisa la Moyo Mtakatifu wa Yesu Tosamaganga.
Misa inahudhuriwa pia na askofu wa Jimbo Katoliki Iringa, mhashamu Romanus Mihali, mapadre, watawa wa kike na kiume pamoja na waamini wenye mapenzi mema kutoka ndani na nje ya Jimbo Katoliki Iringa