Перейти к содержимому

LIVE#MISA TAKATIFU SAKRAMENTI YA KIPAIMARA PAROKIA YA KIWELE YA JIMBO LATOLIKI IRINGA.

JIMBO KATOLIKI IRINGA ONLINE TV

0:00 / 0:00

LIVE#MISA TAKATIFU SAKRAMENTI YA KIPAIMARA PAROKIA YA KIWELE YA JIMBO LATOLIKI IRINGA.

676 просмотров · Трансляция закончилась 11 часов назад
JIMBO KATOLIKI IRINGA ONLINE TV
15,3 тыс. подписчиков
676 просмотров · Трансляция закончилась 11 часов назад
Misa hii inaadhimishwa na Mhashamu Romanus Mihali Askofu wa Jimbo Katoliki Iringa Katika Parokia ya Mtakatifu Francisco wa Asizi Kiwele ya Jimbo hilo leo Octoba 03 2026, Akisaidiwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre Duma. Waimarishwa 116 kutoka Vigango sita vya Parokia hii wanaimarishwa kwa Sakramenti takatifu ya Kipaimara. Karibu uungane nasi Katika adhimisho hili takatifu. #twekampakakilindini