Перейти к содержимому

Maandamano ya Geita 1958: Namna Yalivyobadili Msimamo wa Wakoloni Kuelekea Uhuru wa Tanganyika

The Chanzo

0:00 / 0:00

Maandamano ya Geita 1958: Namna Yalivyobadili Msimamo wa Wakoloni Kuelekea Uhuru wa Tanganyika

14 231 просмотр · 7 месяцев назад
The Chanzo
256 тыс. подписчиков
14 231 просмотр · 7 месяцев назад
Mnamo Julai 1958, takribani wananchi 6000 wa Wilaya ya Geita wanaandamana na kukutana katika kiwanja cha Nyamagana jijini Mwanza, ambapo waandamanaji hao wanaweka kambi katika uwanja huo kwa siku tano kuanzia Julai 21 mpaka Julai 25, 1958. Waandamanaji hawa walikuwa wakipinga mabaraza mseto ya wilaya, wakitaka wanaharakati wa TANU waliokamatwa na kufungwa waachiliwe na kesi kufutwa. Kufuatia maandamano hayo kulitokea mabadiliko makubwa ya msimamo wa serikali ya kikoloni, hasa juu ya kuharakisha Uhuru wa Tanganyika. Fuatilia zaidi makala hii inayoangalia kiundani tukio hilo la kihistoria Tanganyika. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER:   / thechanzo   INSTAGRAM:   / thechanzo   FACEBOOK:   / thechanzo   TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2026 © All Rights Reserved.